• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Book History
    • Kuhusu Wizara
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Utawala
    • Directory
    • Vitengo
    • Muundo wa Wizara
    • Mikoa, Wilaya na Halmashauri
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Bajeti na Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji

TAMISEMI QUEENS Mabingwa Ligi ya Muungano

Imewekwa tar.: November 21st, 2019

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo amewapongeza wachezaji wa timu ya mpira wa pete ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) kwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Muungano kwa kuichapa Mbweni JKT kwa mabao 40 kwa 32 mwishoni mwa wiki.

Akiongea Jijini Dodoma wakati akipokea timu hiyo waziri Jafo ameipongeza timu hiyo kwa kufikia malengo yake na amezitaka timu mbalimbali zinazonyemelea vipaji vya wachezaji waliopo timu ya mpira wa pete Ofisi ya Rais TAMISEMI zijitokeze kuwachukua wachezaji hao lakini ni lazima wafuate taratibu ili kujua mustakabali wa maisha ya wachezaji hao kwani ofisi yake inalea vipaji vya wachezaji na wafanyakazi ili kuviendeleza kwa maslai yao na Serikali.  

“wachezaji wetu mmenipa faraja inayopitiliza, sisi ni mabingwa wa Muungano, kwa hayo machache, nimefarijika sana, tumepata ubingwa lakini kizuri zaidi wachezaji bora wa michezo hii wametoka Ofisi ya Rais TAMISEMI”

Aidha, Jafo amesema ushindi huo ni ushindi wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ambaye ndiye waziri Mwenye dhamana na Ofisi ya Rais TAMISEMI kwani timu hii ipo katika ofisi yake na matarajio ya ofisi ni kucheza kombe la mabara baada ya kuifanya timu ya TAMISEMI QUEENS kuwa timu ya Taifa.

Naibu Katibu Mkuu OR – TAMISEMI Bw. Gerald Mweli amesema ofisi itayafanyia kazi maagizo yote ya Serikali ili timu ya mpira wa pete iweze kufanya vizuri zaidi.

Naye mwalimu wa timu ya TAMISEMI QUEENS Bi. Maimuna Kitete amesema mafanikio yao ni kutokana na wachezaji wake kujiandaa na kucheza kama timu kama alivyokuwa amewaandaa kushinda michuano ya Kombe la Muungano na ushirikiano mkubwa wa uongozi wa OR-TAMISEMI. Aidha, amesema TAMISEMI Queens walikabidhiwa kikombe cha ubingwa pamoja na  kutoa mchezaji bora (MVP) na mchezaji bora wa katikati (center).

Kwa upande wake Mwenyekiti wa TAMISEMI sports Filbert Lwakilomba amesema wanazo changamoto kadhaa zikiwemo kutokujitokeza kwa wagombea wakwenye uchaguzi wa Viongozi wa michezo lakini pia wachezaji kuwajibika katika vituo vyao vya kazi na pia kutokuwa na kambi ya muda mrefu na hivyo kupelekea kufanya timu hiyo kuwa na matokeo yasiyoridhisha ukilinganisha na timu za majeshi ambazo wachezaji kazi yao ni moja tu ya michezo.

Timu ya Mpira wa Pete ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI Queens) ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Ligi ya Muungano Visiwani Zanzibar mwishoni kwa kuisambaratisha timu ya Mbweni JKT kwa jumla ya magoli 40 kwa 32 katika mchezo wa fainali uliopigwa katika viwanha vya Gymkana Kisiwani Zanzibar.


TAMISEMI Queens ilishinda michezo yote mpaka kufika fainali na kutwaa ubingwa ikiwa imepangwa kundi B ikiwa na timu za Eagle ya Jijini Dar es salaam, Mafunzo ya Zanzibar, Mbweni JKT, Makutupora kutoka Dodoma na Zimamoto ya Zanzibar. Jumla ya timu 11 zilishiriki ambapo kuni A zikiwa timu 5 na kundi B timu 6.

       Anaandika OR - TAMISEMI Fred Kibano


Matangazo

  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 TANZANIA BARA December 06, 2019
  • TANGAZO LA KUWAREJESHA WAGOMBEA WASIO NA MAKOSA YA KIKANUNI KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2019 November 10, 2019
  • MAELEZO KUHUSU ZOEZI LA KUCHUKUA NA KUREJESHA FOMU ZA MAOMBI YA UTEUZI WA KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI October 30, 2019
  • TANGAZO NA ORODHA YA WALIOITWA AJIRA ZA MKATABA TAASISI YA BENJAMIN MKAPA October 25, 2019
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KADA YA AFYA REPLACEMENT October 25, 2019
  • Orodha ya Majina ya watumishi wa Ajira Mpya kada ya Afya September 18, 2019
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Jafo atangaza waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha kwanza, 2020

    December 05, 2019
  • Jafo ambana Mkandarasi SKOIL Building Contractors Limited

    December 04, 2019
  • Jafo akagua ujenzi wa hospitali ya Uhuru

    December 04, 2019
  • Halmashauri zapigwa marufuku kukopa Benki

    November 29, 2019
  • Angalia zote

Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Dodoma
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.