• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Simamieni miradi ya maendeleo – Silinde

Imewekwa tar.: December 16th, 2020


Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. David Silinde amezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinasimamia  kikamilifu miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri zao ili miradi hiyo iweze kukamilika kwa wakati

Naibu Waziri Silinde ametoa agizo hilo, leo kwenye ziara yake ya Kikazi kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa.

Akikagua miundombinu ya kituo cha afya cha Mazwi, Manispaa ya Sumbawanga Mhe. Silinde amepongeza usimamizi mzuri uliofanywa na Halmashauri hiyo  kwa usimamizi wa ujenzi wa kituo hicho ambacho kwa sasa kimeanza kutoa huduma kwa jamii

“Nimeridhishwa na ujenzi wa Kituo cha afya cha Mazwi,  kimejengwa vizuri na thamani ya fedha na majengo inaonekana, toenihuduma bora za afya kwa jamii ili waweze kuvutiwa na huduma zinaotolewa katika vituo vilivyokarabatiwa na kujengwa na Serikali” amesisitiza Mhe. Silinde

Amesema  lengo la Serikali ni kuhakikisha fedha zinazotolewa zinaenda sambamba na thamani ya miradi  inayotekelezwa katika Halmashauri, hivyo ni vyema kuhakikisha zinasimamia kwa karibu ukamilishaji wa miradi yote ili ianze kutoa huduma kwa  kwa wakati uliokusudiwa na Serikali.

“Utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri na ukamilishaji wake kwa wakati utasaidia kuleta maendeleo kwa jamii na taifa kwa ujumla lengo likiwa ni kutoa huduma bora kwa wananchi” amesisitiza Mhe. Silinde

Wakati huohuo Mgannga Mkuu wa Manispaa ya Sumbawanga Dkt. Archie Hellar amesema Kituo cha Mazwi  ni miongoni mwaa vituo 44 vilivyopata kiasi cha shilingi milioni 500 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu  ili kutoa huduma bora kwa wananchi.

Dkt. Hiller anaendelea kufafanua kuwa hadi sasa huduma zinazotolewa ni  huduma ya wagonjwa wa nje, huduma za mama na mtoto, huduma za upasuaji, mionzi, maabara, kiliniki ya baba, mama na mtoto, huduma ya ushauri nasaha na uanzishwaji wa duka la dawa.

Aidha, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. David Silinde  akiwa Mkoani Rukwa aliweza kukagua Mradi wa Ujenzi wa Madarasa katika shule ya Sekondari Uchile, Ukarabati na Ujenzi wa Kituo cha Afya Mazwi na  Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Sumbawanga.

Na Angela Msimbira SUMBAWANGA




Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vikundi 47 Kondoa vyapewa mikopo ya shilingi milioni 147

    February 24, 2021
  • Mikopo ya Shilingi Milioni 85 yatolewa kwa Vikundi wilayani Bunda

    February 24, 2021
  • Mradi wa Fursa na Vikwazo Iliyoboreshwa Kuingizwa kwenye Majukumu ya OR - TAMISEMI

    February 23, 2021
  • Mikopo ya Sh. Milioni 850 yatolewa kwa Vikundi 104 jijini Tanga

    February 15, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.