• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App

Serikali yakerwa na kasi ndogo ya ujenzi wa daraja la mto Ng’ombe Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

Imewekwa tar.: August 15th, 2020

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  Mhandisi  Joseph Nyamhanga  ameiagiza Kampuni ya ujenzi ya China Henan International Corporation Group Co. Ltd (CHICO) anayejenga  Daraja la mto  ngombe eneo la sinza  kuhakikisha anakamilisha ujenzi kwa wakati ili kuwaondolea adha wananchi wa eneo hilo

Ametoa agizo hilo leo wakati akikagua miradi ya maendeleo   inayotekelezwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Jijini Dar-es-salaam

Nyamhanga amesema kuwa kasi ya ujenzi wa daraja la mto huo ni ndogo  kwani hadi sasa ujenzi umekamilika kwa asilimia 40, hivyo amemuagiza mkandarasi  CHICO kuhakikisha anakamilisha ujenzi huo kwa wakati

Amefafanua kuwa faida za ujenzi wa daraja hilo ni  kuondoa  tatizo la mafuriko  ambalo lilikuwa likiwasumbua wakazi wa eneo hilo na maeneo jirani hivyo kucheleweshwa kwakwe  kunasabisha adha kubwa kwa wananchi hasa katika kipindi cha mvua,

Ameendelea kufafanua kuwa mradi ulitakiwa kukamilika tarehe 16 Septemba, 2020, hivyo mkandarasi aongeze kasi  kuhakikisha anakamilisha katika muda uliopangwa  kwani kutokukamilishwa kwa wakati kwa mradi huo  serikali haitasita kumkata  faini kwa kutokukamilisha mradi huo kwa wakati.

Amewaagiza Wakala wa Barabara, Mijini na Vijijini (TARURA),Halmashauri ya  Manispaa ya Kinondoni, Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam kuahakikisha wanasimamia kwa karibu mradi huo ili uweze kukamilika kwa kwa wakati ili kuwapunguzia adha wananchi kuzunguka

“Ili kupunguza kero kwa wananchi ni vyema wakandarasi wakahahihisha wanakamilisha ujenzi kwa wakati, niwatake Halmshauri ya Manispaa  ya Kinondoni kuhakikisha hawaongezi muda” Amesisitiza Mhandisi Nyamhanga

Aidha. amesema Serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli  imetoa zaidi ya  shilingi  bilioni 731 kwa ajili  ya kuendeleza  miundombinu katika Jiji la Dar-Es-Salaam  yakiwemo  masoko, mifereji ya maji ya mvua  na barabara kwa lengo la kuboresha jiji hilo

Naye Meneja wa TARURA Halmashauri ya Manispaa Kinondoni Mhandisi Leopord Runji amesema ujenzi wa daraja la mto Ngombe lina urefu wa kilometa 7.6 hadi sasa mkandarasi ameshakamilisha ujenzi wa daraja hilo kwa kilometa 3 na madaraja matatu yameshajengwa yakiwemo daraja la barabara ya Salma Kikwete, daraja la Mtogole na Magomeni makuti

Ameeleza kuwa mradi utakuwa na vivuko vya waenda kwa miguu 15 ambapo hadi sasa vivuko 7 vimeshajengwa na mradi huu utagharimu zaidi ya shilingi bilioni 32,8 ambapo pia utajenga mabwawa 2  eneo la ubungo maji kwa ajili ya kuchukua maji kabla ya kuleta madhara

Aidha, mradi huu utaondoa tatizo kubwa la mafuriko  kwa wakazi zaidi ya kata 6 na mitaa 32 na pia mradi huu utakuwa na sehemu ambazo wananchi watatumia kwa ajili ya kupumzika .

Na Angela Msimbira DAR-ES-SALAAM



Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Uhaba wa Saruji wachelewesha ujenzi wa barabara za Mji wa Serikali

    March 03, 2021
  • Natoa siku siku 12 mtatue kero za soko la Ndugai na Stendi kuu ya Mabasi- Waziri Jafo

    March 03, 2021
  • Agizo la ujenzi wa vyumba vya madarasa 2257 latekelezwa

    March 02, 2021
  • Waziri Jafo ataka Shilingi Bilioni 245 za Miradi ya Maendeleo zitumike kwa wakati

    March 01, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.