• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App

Serikali Yaigiza TARURA Kujenga Barabara kwa Wakati

Imewekwa tar.: March 4th, 2019

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo, amepiga marufuku tabia ya Wakala wa barabara mijini na vijijini TARURA, kuchonga viboksi barabarani wakati wa kuziboresha barabara hizo na kuacha mashimo  kwa muda mrefu na kuwa kero kwa watumiaji.

Waziri Jafo ameyasema hayo leo jijini Dodoma, wakati  wa ziara ya kukagua  miradi ya uboreshaji wa barabara za ndani  na nje ya jiji, zinazotekelezwa na Serikali kukabiliana na kero za foleni za barabarani.

Jafo amesema kuwa kuna tabia imejengeka ya TARURA wakati wa kurekebisha miundombinu ya barabara wamekuwa wakichonga viboksi na kuviacha kwa muda mrefu hali inayoleta usumbufu kwa watumiaji wa barabara hizo, na kusababisha ajari hasa kipindi hiki cha mvua.

“Niagize Tarura tabia ya kuanza kuchonga barabara mnachonga viboksi wakati hamjajiandaa kuanza ukarabati na mnaacha viboks hivyo mwezi mmoja miezi miwili hiyo tabia muache, maeneo mengi nimepita nimeona, nikipita na kuona tena mkoa wowote meneja atakuwa hana kazi.” amesema Jafo.

Aidha, Jafo amemuagiza Wakala wa TARURA  Mkoa wa Dar es salaam hadi kufika alhamisi wiki hii awe ametoa maelezo kwanini mkoa huo umekuwa na mashimo mengi ambayo yamekaa muda mrefu bila kutengenezwa.

Na kuagiza ndani ya muda huo mashimo hayo yawe yametengenezwa kwani yanaleta adha kubwa kwa watumiaji wa barabara mkoani humo.

“Pia niagize Meneja wa Tarura mkoa wa Dar es salaam ndani ya siku tatu awe aniletee maelezo kwanini ndani ya mkoa wake amechonga mashimo na kukaa mda mrefu bila kutengeneza na anieleze kwanini kwenye mashimo hayo hajaweka rami na wananchi wanazidi kuteseka” amesema Jafo

Amesema kuwa   kama tarura haijakamilisha na kuwa tayari kuanza matengenezo kwanini wachonge mashimo hayo? Pia alipiga marufuku tabia wa wakandarasi kuweka vifusi wakati wa matengezezo na vifusi kukaa mda mrefu huku vikiendelea kuleta kero kwa watumiaji na waache tabia hiyo.

Kwa upande wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Binilith Mahenge alimpongeza waziri Jafo kwa kufuatilia kwa makini miradi hiyo, na kuahidi kuitekeleza kwa umakini na kwa wakati ili adhima ya serikali iweze kutimia.

Naye Mratibu wa TARURA Mkoa wa Dodoma Mhandisi, Lusako Kilebwe, amesema kuwa  ukarabati wa barabara hizo za ndani na nje ya mji ni moja ya mbinu za kupambana na msongamano wa magari katika Jiji  ili liwezekuendana na hadhi ya kuwa Jiji.

Mhandisi Lusako amesema kuwa wao kama Tarura changamoto wanazokumbana nazo ni utumiaji mbaya wa wananchi katika miondombinu Hiyo na kusababisha kuharibika mapema.

“Sisi kama Tarura tunajitahidi kuboresha miundombinu na kukarabati lakini chanangamoto zinazotukabili na utumiaji wa miondombinu hiyo tunajenga barabara zenye taa lakini watu wanazigonga nguzo za barabarani watu wanaendesha huku wamelewa na wanazingonga na kuharibu.

Miongoni mwa barabara alizokagua Waziri wakati wa ziara hiyo ni pamoja na barabara ya VETA, barabara ya Ilazo, Swaswa na barabara ya martin Luther inayounganisha makazi ya Mhe Waziri Mkuu na mtaa wa Area D Jijini Dodoma na kuridhishwa na hatua zinazoendelea.


                                                      Anaandika Fred Kibano

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Kafanyeni Tohara kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi

    March 04, 2021
  • Uhaba wa Saruji wachelewesha ujenzi wa barabara za Mji wa Serikali

    March 03, 2021
  • Natoa siku siku 12 mtatue kero za soko la Ndugai na Stendi kuu ya Mabasi- Waziri Jafo

    March 03, 2021
  • Agizo la ujenzi wa vyumba vya madarasa 2257 latekelezwa

    March 02, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.