• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App

Serikali Kuboresha Barabara za Miji 66 Nchini 2019/2020

Imewekwa tar.: July 6th, 2019

Serikali imetenga kilomita moja ya lami kwa miji 66 nchini katika mwaka wa fedha 2019/2020 kama muendelezo wa malengo yake ya kuimarisha barabara na mandhari ya miji yake ambayo ujenzi wake unafanywa kupitia fedha za Serikali na Proramu mbalimbali nchini.

Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga alipotembelea barabara ya Rutamba-Mnara-Nyengedi inayojengwa kwa kiwango cha lami yenye umbali wa kilomita moja inayojengwa kwa fedha za Mfuko wa Barabara (road Fund) ambayo utekelezaji wake wa jumla umefikia asilimia 75.

Nyamhanga pia amesema kuwa  utekelezaji wa miradi ya barabara za Halmashauri nchini iendane na thamani halisi ya fedha zilizopangwa ikiwa ni pamoja na fedha za Mfuko wa Barabara zilizotengwa kujenga barabara za Halmashauri nchini na kusimamiwa na Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini Tanzania (TARURA).

Amesema miradi mingine ni ile ya kimkakati kama vile masoko, stendi na machinjio ya kisasa ambayo inatakiwa kusimamiwa kwa umakini ili kufikia malengo ya Serikali ikiwa ni pamoja na kujua mapato yanayotarajiwa na Halmashauri husika, thamani ya fedha na uimara wa miundombinu husika.

Meneja wa TARURA Halmashauri ya Wilaya ya Lindi Mhandisi Dawson Paschal amesema kuwa mradi wa barabara hiyo unagharimu shilingi milioni 360 ambapo mpaka sasa milioni 169 zimekwilipwa lakini pia mradi unakabiliwa na changamoto ya kutokuwepo kwa gari la ofisi kwani lililopo ni chakavu pamoja na ufinyu wa bajeti kwani barabara ina kilomita 48 na kilomita 14.4 tu za lami zimejengwa na kubakiza kilomita 33.6

Mhandisi Dawson Paschal pia amesema kiasi cha fedha shilingi 57,981,100.00 kilichotokana na msamaha wa kodi (VAT) kimetumika kujenga mifereji ya maji kutokana na tatizo la mafuriko eneo la Nyengedi.

Katika hatua nyingine Mhandisi Nyamhanga amekagua hospitali ya Wilaya ya Lindi, Kituo cha Afya Mnazi Mmoja, machinjio ya kisasa, barabara za TARURA na dampo vyote katika Manispaa ya Lindi na kutoa maagizo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Lindi Baptista Kihanzi na Msimamizi wa mradi wa machinjio Bw. Ngongolowo kukamilisha mradi huo katika muda uliopangwa na kutoa taarifa ya matarajio ya mapato ya mradi wa machinjio ambao unatarajiwa ng’ombe 100 watachinjwa kila siku kwa ajili ya kitoweo kwa wakazi wa Manispaa ya Lindi na vitongoji vyake.

Kwa upande wake Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. REhema Madenge amesema kuwa pamoja nakufanya kazi kubwa katika miradi watasimamia kwa umakini kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati na kwa thamani ile ile ya fedha.


        Anaandika Fred Kibano

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Uhaba wa Saruji wachelewesha ujenzi wa barabara za Mji wa Serikali

    March 03, 2021
  • Natoa siku siku 12 mtatue kero za soko la Ndugai na Stendi kuu ya Mabasi- Waziri Jafo

    March 03, 2021
  • Agizo la ujenzi wa vyumba vya madarasa 2257 latekelezwa

    March 02, 2021
  • Waziri Jafo ataka Shilingi Bilioni 245 za Miradi ya Maendeleo zitumike kwa wakati

    March 01, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.