• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu

Rais Magufuli Aagiza Ukamilishaji Ujenzi wa stendi ya Mbezi

Imewekwa tar.: October 8th, 2020

Na Fred Kibano, Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na Mgeni wake Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wameweka jiwe la msingi katika kituo cha mabasi kilichopo Mbezi Louis Jijini Dar es Salaam ambapo Rais Magufuli ameagiza kukamilika kwa wakati ujenzi wa stendi hiyo.

Rais Magufuli ameyasema hayo mbele ya mgeni wake Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwa kumwagiza Mkandarasi wa Kampuni ya Hainan International Ltd kumaliza ujenzi wa stendi hiyo ifikapo Novemba 30, mwaka huu.

Rais Magufuli amesema kwa mujibu wa mkataba uliosainiwa hapo awali, ujenzi ulikuwa ukamilike mwezi Julai, 2020 lakini mpaka sasa haujakamilika pasipo kuwa na sababu za msingi huku kisingizio kikubwa kikiwa ugonjwa wa korona.

“haiwezekani watu watumie visingizio vya korona, huyu mkandarasi alitakiwa awepo hapa, kwa hiyo waziri huyu mkandarasi alitakiwa aanze kukatwa fedha”

Amesema kuwa iwapo Mkandarasi huyo atachelewa kumaliza ujenzi mwezi Novemba basi atapaswa kukatwa fedha kwa kuwa hakuna sababu ya msingi inayozuia ukamilishwaji wa mradi huo kwa wakati.

Katika hatua nyingine Rais Magufuli amesema aliidhinisha jumla ya shilingi Bilioni 51 lakini imeongezeka hadi kufikia bilioni 71 kwa kuongezwa daraja ambalo amelikagua kuona gharama halisi.

Awali Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera amepongeza ujenzi wa stendi ya mabasi ya Mbezi Louis na kusema ni kituo muhimu kwa nchi za SADC (Kusini mwa Afrika) hasa katika kuchochea uchumi na biashara na sio tu kwa nchi za Malawi na Tanzania bali pia nchi za Afrika.

Akitoa maelezo ya awali ya mradi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amesema ujenzi wa stendi kuu ya mabasi ya Mbezi Louis Dar es Salaam umegharimu jumla ya shilingi bilioni 71 ikiwa ni pamoja na daraja na kitachukua mabasi 3456, kutakuwa na maegesho ya magari juu na chini, mradi umetoa  ajira 600 kipindi hiki cha ujenzi na matarajio kwa hapo baadae ni mapato ya shilingi bilioni 10 kwa mwaka ikiwa ni pamoja na ajira zipatazo 10,000

Jafo amesema changamoto iliyochelewesha mradi ni pamoja na ugonjwa wa korona na mpaka sasa ujenzi umefikia  asilimia 85.


Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Serikali yalegeza masharti mikopo ya asilimia 10

    February 27, 2021
  • Vikundi 23 Wilayani Busega vimenufaika na mikopo ya asilimia 10

    February 26, 2021
  • Vikundi 366 Wilayani Kilwa vyanufaika na mikopo ya sh bilioni 1.1

    February 26, 2021
  • Waziri Jafo ataka Zimamoto, Skauti wakomeshe majanga ya moto shuleni

    February 26, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.