• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Msiwe kikwazo kwa watumishi wapya- Mweli

Imewekwa tar.: January 9th, 2021

Na Atley Kuni, Ukerewe, MWANZA

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI (anaye shughulikia elimu), Gerald Mweli, amewataka walimu wakuu, wakuu wa shule na maafisa elimu kata kote nchini kuhakikisha hawatengenezi  mazingira ya walimu wapya kuchukia vituo vya kazi.

Mweli ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na Wakuu wa Shule, Walimu wakuu na waratibu elimu kata, wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, anasema watendaji hao wanawajibu wa kuwapokea   na kuonesha moyo wa ukarimu walimu wanaopangiwa kufanya kazi katika maeneo yao na si kutengeneza mazingira yatakayowafanya wachukia vituo kazi.

Anasema  moja ya vyanzo vinavyochangia baadhi ya watumishi walimu kuomba uhamisho ni pamoja na vikwazo na manyanyaso wanayo fanyiwa na baadhi ya viongozi wao wanaowakuta vituoni.

“ Ndugu zangu lazima tufahamu kuwa tunao wapokea kazini wengine ni watoto wetu kutokana na kuhitimu masomo yao wakiwa bado na umri mdogo hivyo suala la kuwakarimu na kuwatunza ni muhimu sana, ili mtumishi aweze kuyafurahia maisha ya kazi.


Kwa upande wao walimu na waratibu elimu  wanaiomba serikali, kuona uwezekano wa kuajiri walimu  wa maeneo husika ili kuepusha watumishi kuomba uhamisho wa mara kwa mara.

Ombi hilo lilitolewa na mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Mibugo, Mtesigwa Bulega wakiwasilisha sehemu ya hoja zao mbele ya Naibu Katibu Mkuu.

Aidha, akijibu hoja hiyo, Mweli anasema katika wakati mfupi ujao Wizara itakamilisha mfumo wa uhamisho na hivyo itakuwa ndio suluhu yakudumu.


Bulega pia  anaiomba serikali kuona umuhimu wa uwepo wa shule maalum ya bweni kwaajili ya wanafunzi wenye mahitaji maalum.

hata hivyo Mweli , aliwahakikisha viongozi hao atalifikisha  katika mamlaka zingine ili suluhu ipatikane.


Akihitimisha kikao hicho, Naibu Katibu Mkuu Mweli amewaagiza, Wakuu wa Shule hao na waratibu elimu kata, kuhakikisha wanatumia mfumo wa PREM na PREMS kama ilivyo elekezwa ili kuweka kumbukumbu na taarifa za wanafunzi kwenye utaratibu unao kubalika.


“Tarehe 11 Januari, 2021, shule zitakapokuwa zinafunguliwa, taarifa zote ziwe katika utaratibu unaotakiwa, kushindwa kufanya hivyo tutahesabu unataka kutengeneza wanafunzi hewa” amesisitiza Mweli.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe,  Mh. Cornel Magembe, akitoa amewapongeza waalimu wote kwa ujumla katika wilaya ya Ukerewe kwa juhudi wanazoendelea kufanya katika kunyanyua hali ya elimu kwani ni kwa miaka miwili mfululizo matokeo ya mitihani Wilaya imeshika nafasi ya nne (4) kati ya nane (8) za kimkoa.


Magembe amewasihi kuhakikisha kuwa walimu wote watakao pangiwa  kufanya kazi katika Wilaya yaUkerewe watakutana na mazingira rafiki ya wao kuishi na kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa. “mazingira yetu sio mabaya kama wengi wanavydhani bali ni kwasababu tu tupo kisiwani”

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ukerewe, bi Ester Chaula ameahidi kuendelea kushirikiana na walimu wakuu, wakuu wa shule, maafisa elimu kata lakini pia na watumishi wote watakao pangiwa wilayani ukerewe.

MWISHO

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vikundi 47 Kondoa vyapewa mikopo ya shilingi milioni 147

    February 24, 2021
  • Mikopo ya Shilingi Milioni 85 yatolewa kwa Vikundi wilayani Bunda

    February 24, 2021
  • Mradi wa Fursa na Vikwazo Iliyoboreshwa Kuingizwa kwenye Majukumu ya OR - TAMISEMI

    February 23, 2021
  • Mikopo ya Sh. Milioni 850 yatolewa kwa Vikundi 104 jijini Tanga

    February 15, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.