• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App

Mpira wa kengele kivutio mashindano ya UMITASHUMTA

Imewekwa tar.: June 26th, 2019

Na Mathew Kwembe, Mtwara

Mikoa 23 kati ya 26 ya Tanzania bara inashiriki  mchezo wa mpira wa kengele katika mashindano yanayoendelea katika viwanja vya chuo cha ualimu Mtwara.

Ukiacha mikoa ya Katavi, Simiyu, na Songwe, mikoa mingine yote imeleta washiriki ambapo mchezo huu unaochezwa kwa dakika 24, dakika 12 kila upande na dakika 5 za mapumziko umekuwa kivutio cha aina yake hapa Mtwara.

Kwa mujibu wa Msimamizi wa michezo hiyo bwana John Ndumbaro, bingwa mtetezi wa michuano hiyo kwa upande wa timu ya wasichana ni mkoa wa Tabora na kwa wavulana bingwa ni mkoa wa Morogoro.

Mchezo huu huchezwa na washiriki  watatu wasioona, au wenye uono hafifu ambao hufungwa vitambaa usoni, ambapo mchezaji atalazimika kuucheza kwa kutumia hisia za kengele kwani mpira wenyewe unapoburuzika ni rahisi kuusikia mlio wa kengele hivyo na utazuiwa kwa kuudaka.

Amesema goli likiingia refa atapuliza filimbi mara mbili, na endapo mchezaji atarusha kuelekea upande wa pili ukiwa juu bila kuburuzika, refa atapuliza filimbi kutoa adhabu ya penati ambapo refa atawatoa wachezaji wawili na kumbakisha mmoja ili aweze kudaka penati.

Ndumbaro amesema goli linalotumika kwa kila upande lina upana wa mita 9 wakati uwanja mzima una ukubwa wa mita 18 sawa na uwanja unaotumika kwa ajili ya mpira wa wavu (volleyball).

Amesema kuwa mashindano ya mpira wa kengele sasa ipo katika hatua ya makundi ambapo katika michezo iliyochezwa jana Pwani wavulana ilifungwa na Kigoma kwa magoli 0-15, Dar es salaam wavulana iliifunga Mara 13-09, Arusha wasichana iliifunga Mbeya 9-7, Mara wasichana waliifunga Kigoma 10-0, Kilimanjaro wavulana waliifunga Tabora 6-3, Pwani wasichana walifungwa na Tabora  magoli 3-23, Mbeya wavulana walitoka sare na Arusha kwa magoli 8-8, Dar es salaam wasichana iliifunga Iringa 19-8, Morogoro wasichana waliifunga Ruvuma 8-2.

Matokeo ya michezo mingine yanaonyesha kuwa Rukwa wavulana walitoka sare na Iringa 8-8, Tanga wavulana waliifunga Pwani 10-0, Ruvuma wavulana waliifunga Kagera 14-10, Lindi wavulana walitoka sare na Njombe 14-14, Iringa wasichana walifungwa na Morogoro 4-17, Mtwara wasichana walifungwa na Mbeya 2-17, Mara wavulana waliifunga Iringa 14-4, Tabora wavulana waliifunga Geita 14-3, Mwanza wavulana waliifunga Kigoma 13-5, Ruvuma wasichana waliifunga Rukwa 12-2.

Pia Dar es salaam wavulana waliifunga Rukwa 23-9, Shinyanga wavulana walifungwa na Geita 9-16, Pwani wavulana waliifunga Manyara 10-6, Singida wavulana waliifunga Kagera 10-8.

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Uhaba wa Saruji wachelewesha ujenzi wa barabara za Mji wa Serikali

    March 03, 2021
  • Natoa siku siku 12 mtatue kero za soko la Ndugai na Stendi kuu ya Mabasi- Waziri Jafo

    March 03, 2021
  • Agizo la ujenzi wa vyumba vya madarasa 2257 latekelezwa

    March 02, 2021
  • Waziri Jafo ataka Shilingi Bilioni 245 za Miradi ya Maendeleo zitumike kwa wakati

    March 01, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.