• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Mkurugenzi aridhishwa na kasi ya ujenzi wa vituo vya afya nchini

Imewekwa tar.: June 6th, 2018

Mkurugenzi wa Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe , Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dr. Ntuli Kapologwe ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa vituo vya afya nchini ambavyo vimejengwa kwa ushirikiano baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wafadhili mbalimbali wa Sekta ya afya nchini.

Ntuli ameonyesha kuridhishwa kwake wakati alipotembelea kituo cha afya Mundemu kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Jijini Dodoma kuona maendeleo ya ujenzi wa vituo vya afya nchini na kujionea matumizi ya fedha ambazo zimetolewa na Serikali katika awamu ya tatu ambayo ni ya kukarabati vituo 39.

Dr. Kapologwe amesema Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OR-TAMISEMI) tayari imeshaagiza vifaa tiba ambavyo vitawekwa katika majengo hayo na imeweza kuajiri watumishi wapatao 6180 ambao watapelekwa katika vituo vyote vya afya viliyoojengwa nchini ili waweze kuanza kutoa huduma kwa jamii.

Amesema vituo hivyo vitaweza kutoa huduma ya upasuaji, pamoja na huduma nyingine za wagonjwa hivyo watumishi wapya watakuwa wakitoa huduma bora kwa wananchi lengo likiwa ni kutoa huduma bora za afya na kupunguza malalamiko kwa wananchi kuhusu huduma za afya nchini.

Anaendelea kufafanua kuwa upangaji wa watumishi hao katika vituo vya afya utakuwa wa kimkakati kwa maana ya kwamba tayari wameshaainisha mahitaji na watapangiwa vituo vya kazi kulingana na mahitaji ya eneo husika ambapo kutaondoa changamoto ya upungufu wa watumishi wa afya nchini.

Wakati huohuo Mkurugenzi wa Idara ya Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bi. Beatrice Kimoleta ameridhishwa na ujenzi wa vituo vya afya nchini na kuwataka baadhi ya maeneo kuongeza kasi ya ujenzi ili kukamilisha vituo hivyo kwa wakati.

Amesema kuwa katika Ujenzi wa vituo vya afya nchini umeweza kuzingatia dhamani ya fedha iliyotolewa na Serikali ukilinganisha na majengo yanayojengwa ambayo ni imara na amewapongeza Kamati ya Ujenzi ya Kituo cha afya cha Mpwayungu kwa usimamizi mzuri wa ujenzi wa kituo hicho.

Aidha Bi. Kimoleta ameushauri uongozi wa jiji la Dodoma kuhakikisha wanamaliza ujenzi wa Kituo cha afya cha Mpwayungu kwa wakati lakini kwa kuzingatia ubora wa majengo ili wananchi waweze kupata huduma za afya katika eneo hilo.

 
 

Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Taarifa ya ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri kwa kipindi cha nusu Mwaka (Julai – Disemba, 2019) kwa Mwaka wa fedha 2019/2020 February 09, 2020
  • Tangazo la kazi kada ya Afya January 20, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • “PS3 plus” Yarudi kwa kishindo, Bilioni 114 kuwezesha Mifumo Sekta ya umma nchini

    January 16, 2021
  • Serikali yagawa vifaa vya bilioni 3 kwa Wanafunzi 18,488 wenye mahitaji maalum

    January 14, 2021
  • Mweli awatolea uvivu kidato cha Nne, Sita, awajenga kinidhamu

    January 11, 2021
  • Mweli awatega Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu kwenye Mfumo wa PREM/PREMS.

    January 10, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.