• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App

Mkandarasi atakiwa kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara ya Kidabaga – Bomalang’ombe

Imewekwa tar.: December 6th, 2020

Na Angela Msimbira IRINGA

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga amemuagiza Mkandarasi wa ujenzi wa barabara ya Kidabaga hadi bomalang’ombe  M/S BUILDERS kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa barabara hiyo kwa  wakati uliopangwa

Mhandisi Nyamhanga ametoa agizo hilo  leo  Disema 05,2020 kwenye ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Mkoani Iringa,

Akizungumza katika ziara hiyo amemtaka  mkandarasi huyo kutosubiri   mwezi wa nane  ufike ili kuweza kukamilisha kazi ya ujenzi wa barabara hiyo bali wakamilishe haraka kwa kuwa barabara hiyo ni  muhimu kwa wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Kilolo Mkoani Iringa.

“Serikali imeshatenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara hiyo, hivyo ni wajibu wa mkandarasi kuhakikisha wanaongeza kasi ya ujenzi ili iweze kukamilika kwa muda mfupi na viwango vinavyolingana na fedha iliyotumika” amesisitiza  Mhandisi Nyamhanga

Pamoja na hayo, amemuagiza Mkurugenzi wa Tarura Makao Makuu Mhandisi Victor Seif kufanya tathimini ya kina kuhusu ujenzi wa barabara hiyo ikilinganishwa na uzito wa magari yatakayopita ili kuweza kujenga barabara imara ambayo itahimili uzito wa mizigo itakayokuwa inapita.

“Yapo Magari yatakayosafirisha mazao mbalimbali  na mbao ni vyema tukajiridhisha  kabla ya kuendelea na ujenzi kwa kufanya mapitio ya usanifu ili barabara ziwe imara zaidi katika  kuhimili  uzito wa magari yatakayopita” Amesema Mhandisi Nyamhanga

Aidha amewaagiza viongozi wa Mkoa wa Iringa kuhakikisha wanasimami kwa karibu ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo, kwa kuhakikisha inakamilika ndani ya muda uliopangwa kwa kuzingatia ubora unaotakiwa.

Naye  Mratibu wa Tarura Mkoa wa Iringa Mhandisi Makori Kisare amesema ujenzi wa barabara ya Kidabaga – Bomalang’ombe yenye urefu wa kilometa 18.3 ni ya kiwango cha lami na itagharimu zaidi ya shilingi  bilioni 8.167

Amesema kuwa ujenzi huo umefadhiliwa na jumuiya ya ulaya chini ya program ya Agri connect ambao unatekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo na Mufindi.

Aidha lengo la Ujenzi wa barabara hiyo ni kuwawezesha wakulima wa chai, kahawa na mbogamboga kuweza kusafirisha mazao yao kwa urahisi ili kujiongezea kipato na kukuza uchumi wa Mkoa na taifa kwa ujumla.

Wakati huohuo Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa Happiness Semeda  amesema kuwa barabara hiyo ni muhimu katika kukuza uchumi  wa Mkoa wa Iringa na utasaidia wananchi kusafirisha mazao yao kwa urahisi.Pia amesisitiza kuwa miradi hiyo imeibuliwa na wananchi katika kutoa vipaombele vyao katika Halmashauri.



Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Uhaba wa Saruji wachelewesha ujenzi wa barabara za Mji wa Serikali

    March 03, 2021
  • Natoa siku siku 12 mtatue kero za soko la Ndugai na Stendi kuu ya Mabasi- Waziri Jafo

    March 03, 2021
  • Agizo la ujenzi wa vyumba vya madarasa 2257 latekelezwa

    March 02, 2021
  • Waziri Jafo ataka Shilingi Bilioni 245 za Miradi ya Maendeleo zitumike kwa wakati

    March 01, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.