• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu

Miradi ya Kimkakati Iwezeshe Halmashauri Kujitegemea - Nyamhanga

Imewekwa tar.: September 14th, 2019

Serikali imepongeza ujenzi wa stendi kuu ya kisasa kwa mabasi yaendayo mikoani Jijini Arusha utakaogharimu shilingi bilioni 10 katika hatua za awali.

Akiongea wakati wa ziara yake ya kikazi hii leo Jijini Arsha Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI amepongeza ujenzi wa stendi hiyo unaotarajiwa kuanza eneo la Orasiti nje kidogo ya Jiji la Arusha mara baada ya taratibu za ujenzi kukamilika ikiwa ni pamoja na kulipa fidia ya maeneo ya wananchi yaliyochukuliwa.

Amesema azma ya Serikali ni kuboresha miji, majiji na manispaa kuwa za kisasa zaidi ambapo mpaka sasa Serikali imetumia shilingi bilioni 88 kwa miradi 27 ya kimkakati ikiwemo stendi na masoko kwa ajili ya kuongeza mapato ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Mhandisi Nyamhanga amesema lengo la Serikali ni kuzifanya Mamlaka za Serikali za Mitaa kujitegemea kwa asilimia 100 bila kutegemea fedha za ruzuku kutoka Serikali Kuu baada ya kuboresha mapato yao na hili litaanza na majiji na halmashauri ambazo zimeboresha mapato yao.

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw. Richard Kwitega amesema kuna mahitaji makubwa ya stendi kutokana na msongamano wa mabasi kwenye kituo cha mabasi na hivyo ujenzi wa stendi mpya na baadhi ya barabara za mzunguko zitaondoa kero ya foleni na msongamano katika Jiji la Arusha.

Naye Mhandisi wa Jiji la Arusha Samwel Mshuza amesema stendi ya Orasiti una ukubwa wa ekeari 29.65 na upo katika hatua za uhakiki wa kulipa fidia ya maeneo kiasi cha shilingi bilioni 1.99 na kutangaza zabuni ya kumtafuta mkandarasi mshauri kwa ajili ya kuandaa michoro.

Mshuza amesema fedha za mradi ni mkopo kutoka benki ya Azania kiasi cha shilingi bilioni 10 na utakapokamilika unatarajiwa kuongeza mapato ya Jiji kwa kiasi cha shilingi bilioni 3.5 kwa mwaka na pia utaondoa msongamano uliopo wa mabasi kwenye kituo cha sasa.

Katika hatua nyingine mhandisi Nyamhanga amekagua ujenzi wa barabara za Serengeti, Machame, Leyora na Sanawari zenye urefu wa kilomita 0.74 ambao umefikia asilimia 76 unaotekelezwa na TARURA kwa fedha kutoka Mfuko wa Barabara kiasi cha shilingi 587,317,000

Mradi mwingine ni barabara za Oljoro-Muriet, bypass-Kisongo, Njiro, Krokon, Ngarenaro na Sombetini-FFU ambazo zinajengwa na mkandarasi Sinohydro Co Ltd kwa gaharama ya shilingi 26,403,980,916.61 na mradi wote umefikia asilimia 94.

Nyamhanga ameagiza miradi yote kukamilika kwa wakati na kujali thamani halisi ya fedha ili kuleta tija kwa wananchi.

               Anaandika Fred Kibano



Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Serikali yalegeza masharti mikopo ya asilimia 10

    February 27, 2021
  • Vikundi 23 Wilayani Busega vimenufaika na mikopo ya asilimia 10

    February 26, 2021
  • Vikundi 366 Wilayani Kilwa vyanufaika na mikopo ya sh bilioni 1.1

    February 26, 2021
  • Waziri Jafo ataka Zimamoto, Skauti wakomeshe majanga ya moto shuleni

    February 26, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.