• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App

Mikopo ya Shilingi Milioni 85 yatolewa kwa Vikundi wilayani Bunda

Imewekwa tar.: February 24th, 2021

Nuru Ally, Bunda

Halmashauri ya Wilaya ya Bunda imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 85 kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu katika kipindi cha Mwaka 2019/2020, ikiwa ni kutekeleza agizo la serikali kwa kila halmashauri kutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani.

Aidha Halmashauri hiyo ilitoa kiasi cha shilingi milioni 35, kutoka kwenye marejesho ya Vikundi (Revolving fund) na kufanya jumla ya fedha zote zilizotolewa kwa vikundi 41  vya halmashauri hiyo kuwa shilingi milioni 120.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Amos Kusaja amesema fedha hizo ni sawa na asilimia 89.4 kati ya kiasi kilichotengwa na halmashauri kwa ajili ya kukopesha bila riba kwa Wanawake,Vijana na Watu wenye ulemavu.

Amesema jumla ya vikundi 41 vimenufaika na  mikopo hiyo, ambapo vikundi vya wanawake ni 14,Vijana 11 na Watu wenye ulemavu 7.

Amefafanua kuwa wanawake  walipata jumla ya kiasi cha shilingi milioni 40.5 Vijana  milioni 28.8 na Walemavu ni shilingi milioni 15.7.

Kwa upande wake Mkuu wa Idara ya Maendelea ya Jamii Beatrice Gwamagobe amesema kuwa kila Mwaka vikundi vya Wanawake,Vijana na Watu wenye ulemavu  vinanufaika na mkopo usio na riba kutoka  Halmshauri sambambamba na kutoa mafunzo kwa vikundi hivyo.

Gwamagobe ameeleza kuwa  uwepo wa Semina kwa wanufaika wa  mkopo usio na riba umeweza kusaidia  vikundi hivyo kutumia fedha hizo kwa kuendeleza shughuli za kijasiliamari na kupelekea vikundi vingi vinavyo nufaika na mkopo usio na riba kufanikiwa.

“Mafunzo kwa wanawake,Vijana na Walemavu imesaidia kwa kiasi kikubwa kwa wanufaika kuweza kujiendeleza kuzalisha shughuli nyingine  na kupelekea urahisi wa marejesho ya mkopo huo”.

Gwamagobe amesisitiza kuwa vikundi vyote vinafuata taratibu za kifedha  kwa kufanya marejesho kwa wakati pamoja na kuhakikisha fedha walizopatiwa kuwa zinafanya lengo lililokusudiwa.

‘kila mwanakikundi anawajibu wa kufuata taratibu za kurejesha mkopo aliopatiwa na hi imesaidia  kufikisha malengo ya  kila mtu,”amesema Gwamagobe

Miongoni mwa vikundi vilivyonufaika na mikopo hii isiyo na riba ni kikundi cha Wanawake TUINUANE ambapo Leticia Finiasi, kwa niaba ya wanachama 11 wenzake kutoka Kata ya Nansimo Kijiji cha Nansio kupokea shilingi milioni 4 ambazo walizizalisha kwenye shughuli zao za kilimo cha Bustani na kupata kiasi cha shilingi milioni 13.6.

Naye Salum James kutoka kikundi cha MAPINDUZI GROUP ambacho kinajishughulisha na kilimo cha bustani pamoja na Ufugaji wa samaki katika mabwawa kilichopo kata ya Butimba amesema kuwa mkopo usio na riba umesaidia kuendeleza kilimo na ufugaji wa samaki.

Ameongeza kuwa kikundi chao kilipokea shilingi milioni 6 ambapo imewasaidia kupanua mradi kutoka katika ufugaji wa Samaki katika bwawa mpaka kilimo cha umwagiliaji cha hekari 2 za nyanya.

‘Mkopo huu umeweza kusaidia kutupatia mafanikiwa makubwa  ya kupanua mradi wetu pamoja na kutengeneza ajira kwa watu wasiopungua 50,” amesema James.

Kwa upande wake Clifford Makaranga, katibu wa kikundi cha Albino kinachojishughulisha na uuzaji wa nafaka katika Kata ya Chitengule kijiji cha Busambara amesema mkopo usio na riba umewasaidia kupata kipato ambacho huwendesha maisha yao ya kila siku na kuwaepusha kuishi maisha ya kuomba omba kutokana na hali yao ya ulemavu wa ngozi.

‘Tunashukuru serikali kwa kutuangalia na sisi walemavu maana hii inatusaidia kutokuwa ombaomba,” amesema makaranga.

Halmashauri ya Wilaya ya Bunda katika mwaka 2020/2021 imetenga kiasi cha  shilingi milioni 105.8  kwa ajili ya kutoa mikopo ya isiyo na riba na mpaka sasa kiasi cha shilingi milioni 32 kimetolewa kwa makundi hayo.

Matangazo

  • Badili Tahasusi kwa Wanafunzi Kidato cha Tano Tarajali na Vyuo vya Kati March 29, 2021
  • Kitabu cha Maombolezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. John Pombe Joseph Magufuli March 18, 2021
  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Watendaji Halmashauri watakiwa kujenga ushirikino na madiwani

    April 15, 2021
  • Tutayaendeleza yaliyoanzishwa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli – Waziri Ummy

    April 15, 2021
  • TARURA Iringa watumia shilingi milioni 153 kukarabati barabara za Kalenga

    April 12, 2021
  • Shilingi bilioni 1.5 zatumika kujenga vituo vinne vya afya Tunduru

    April 12, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.