• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Kitabu
    • Kuhusu Wizara
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mikataba wa Huduma kwa mteja
  • Utawala
    • Idara
    • Vitengo
    • Muundo wa Wizara
    • Mikoa, Wilaya na Halmashauri
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Mpango Miji Mkakati (TSCP)
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Machapisho
    • Hotuba ya waziri
    • Taarifa Mbalimbali
    • Bajeti na Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Vipeperushi
    • Fliers
    • Burners
    • Sticker
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
  • Blog TAMISEMI

Mikoa yatekeleza asilimia 49.4 ya Ujenzi wa Viwanda

Imewekwa tar.: March 23rd, 2018

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema kuwa jumla ya viwanda 1,285 kati ya 2,600 vimejengwa katika mikoa mbalimbali ikiwa ni miezi mitatu tangu atoe agizo la ujenzi wa viwanda 100 kwa kila mkoa.


Akizungumza katika kikao kazi cha kupitia bajeti ya TAMISEMI na Mikoa, kilichofanyika leo mjini Dodoma Jafo alisema viwanda hivyo vilivyojengwa ni sawa na asilimia 49.4.


Alisema agizo hilo bado linaendelea kutekelezwa ambapo hadi kufikia Desemba 31, mwaka huu kila mkoa unatakiwa kuwa na viwanda 100 ambavyo ni sawa na viwanda 2600.


“Viwanda hivi vilivyojengwa vina mchanganyiko mbalimbali ikiwemo viwanda vikubwa, vya kati na vidogo, mna mikakati mikubwa ambayo itawezesha kuwa na mchanganyiko wa viwanda vikubwa na vidogo,”alisema Jafo.


Alibainisha kuwa kupitia wakuu wa mikoa ajenda ya Rais John Magufuli ya Viwanda inatekelezwa na kuwataka waendelee kuitekeleza.


Kwa mujibu wa Waziri Jafo, viwanda vidogo vinavyojengwa ni vile vinavyoanzia sh.milioni 2.5 hadi sh.milioni 10.


Akizungumzia kuhusu maandalizi ya bajeti kwa mwaka huu Waziri Jafo aliwataka Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha kuwa wanawapitisha vizuri Wakuu wa Mikoa ili waelewe bajeti za mikoa yao na wahakikishe kuwa randama zinakaa vizuri.


Alisema katika bajeti ya mwaka 2017/18 Ofisi ya Rais TAMISEMI pamoja na Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa walitengewa asilimia 20 ya bajeti yote sawa na Trilioni 6.8


Naye Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt Zainabu Chaula aliwataka Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa kuwa kitu kimoja katika utekelezaji wa shughuli za Serikali ili kuleta ufanisi unaotarajiwa.


Alisema ni vyema viongozi hao hasa Ofisi za Sekretarieti za mikoa kuhakikisha kuwa wanawapa taarifa sahihi Wakuu wa Mikoa ili kurahisisha utendaji wa kazi za serikali.


Awali kabla ya Jafo, Wakuu wa mikoa walitoa taarifa zao za ujenzi wa viwanda hivyo kufuatia agizo alilolitoa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alisema katika mkoa wake tangu kutolewa kwa agizo hilo viwanda 88 vimejengwa.


Hata hivyo alisema kumekuwepo na changamoto ya umeme na maji na kuiomba serikali kuliangalia suala hilo ili kuendelea kuvutia wawekezaji zaidi.

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2018. January 24, 2019
  • Michoro ya Majengo ya Vituo vya Afya February 10, 2018
  • Michoro ya Majengo ya Zahanati May 16, 2018
  • Michoro ya Majengo ya Hospitali za Wilaya Tanzania Bara September 16, 2018
  • Kuitwa Kazini, Ajira Mbadala za Benjamin Mkapa Foundation December 27, 2018
  • Taarifa kwa Umma/ Tarehe ya mwisho kuripoti Kidato cha Tano 2018 June 18, 2018
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Serikali Yatenga Bilioni 29.9 Kumalizia Maboma Yote ya Shule – Mhandisi Nyamhanga

    February 18, 2019
  • Ujenzi Hospitali za Wilaya Ukamilike kwa Wakati – Mhandisi Nyamhanga

    February 17, 2019
  • Dkt. Gwajima Atua Dar na Kampeni ‘Coordination’

    February 17, 2019
  • Serikali Yaagiza Maafisa Elimu Mikoa na Wilaya Kusimamia Taaluma

    February 16, 2019
  • Angalia zote

Video

Waziri Jafo akerwa na kusuasua kwa ujenzi wa stendi kuu ya mabasi Dar es salaam
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • File Management System (e-office)
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.