• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu

Mbulu Nimewaelewa, Mko Vizuri

Imewekwa tar.: September 13th, 2019

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amepongeza Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbuyu kwa usimamizi makini wa   ujenzi wa Hospital ya Wilaya  inayoendelea kujengwa katika kata ya Dongobesh.

Waziri Jafo ametoa pongezi hizo baada ya kutembelea eneo linapojengwa Hospital ya Wilaya na kuridhishwa na  hatua iliyofikiwa katika ujenzi huo ukiacholia mbali changamoto walizokutana nazo wakati wa ujenzi.

Hakina Mbulu nimewaelewa Hospital ya Wilaya inavutia mmejenga majengo mazuri yenye ubora unaotakiwa na mmezingatia maagizo tuliyotoa katoka ujenzi wa hospital hizi za Wilaya

Mmenifurahisha ingawa majengo yenu hayajakamilika lakini nimeziskia  changamoto mzilokutana nazo na namna mlivyokabiliana nazo kwa sababu hazikua kikwazo cha kukwamisha kazi hii mmeweza kuzitatua na ujenzi ukaendelea kama kawaida.

“Mbulu mmewapita hata Halmashauri zingine ambazo hawakuwa na changamoto zozote nyie mmekabiliana na changamoto za kutosha lakini bado kazi yenu imekua nzuri na inayopendeza hongereni sana na muendelee na kazi hii nzuri kwenye miradi mingine” Alisema Jafo.

Pia Waziri Jafo amempongeza Mbunge wa Halmashauri ya Mbulu Mhe. Flatei Massay  kwa jitihada zake anazozifanya za kutetea wananchi na kuhakikisha wanapata miradi ya maendeleo.

Mbunge wenu anawapenda sana watu wa Mbulu anapambana kuhakikisha miradi mingi ya maendeleo inawafikia wananchi wake na kuleta maendeleo katika Jimbo la Mbulu Vijijini alisema Jafo.

Msidhani kuwa miradi hii imekuja  kwenu kwa bahati tu kuna jitihda kubwa zimefanyika mpaka mkapata fedha za ujenzi wa Jengo la Halmashauri, mkajengewa  kituo cha Afya Dongobesh na zadi mkapata tena Tsh Bil 1.5 kwa ajili ya ujenzi wa hospital za Wilaya  hii ni miradi mingi sana kwa Halmashauri moja kuipata katika kipindi chwa mwaka mmoja wa fedha.


Naye Mkuu wa Wilaya ya Mbuli Mhe. Chelestino Mofugo  amesema pamoja na changamoto walizokutana nazo wakati wa ujenzi, Wananchi wa Dongobesh wametoa ushirikiano wa kutosha  wakati wote wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo.


“Mhe. Waziri Jafo napenda ufahamu kuwa wananchi wa Dongobesh ndio waliotupa hili eneo bure kabisa kwa ajili ya ujenzi wa Hospital ya Wilayah ii inaonyesha utayari wa hali ya juu ya wananchi hawa kuipokea Halmashauri ya Wilaya kuhamia katika eneo hili na hili limetusaidia sana katika kufanikisha ujenzi wa hospital yetu hii unayoiona” alisema Mhe. Mofugo.


Akisoma Taarifa ya ujenzi wa Hospital ya Wilaya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbulu Hudson Kamoga alisema changamoto kubwa liyokutana nayo wakati wa kuanza ujenzi ni pamoja ni miamba migumo ya eneo la hospital pamoja na kuwa na maeneo oevu ambayo kwa kiasi kikubwa yalirudisha nyumba kasi ya ujenzi.


“Hii changamoto ya kukutana na mwamba mgumu ilitulazimu kutafuta milipuko na wataalam wa kuilipua ili kutoa huo mwamba lakini tulijitahidi kadiri ya uwezo wetu kulifanyia kazi kwa haraka na kufanikiwa kuondoa mwamba huo kisha ujenzi ukaendelea” alisema Kamoga.


Pia Kamoga aliotoa ombi maalumu kwa Waziri Jafo kuwa wanaomba kupatiwa Mhandisi wa Halmashauri au mafunzi mchundo ili awasaidie katika kusimamia miradi ya ujenzi kwa kuwa aliyepo sasa anazidiwa na kazi na endapo inatokea anapata dharura kazi zote za ujenzi zinasimama kwa muda kusubiri amalize dharura yake ili ahakiki ubora wa kazi.


Ujenzi wa hospital ya Wilaya ya Mbulu umefikia asilimia 80 na ni moja wapo ya hospital za Wilaya 67 zinazoendelea kujengwa Nchi Nzima.


Mwisho.




Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Waziri Jafo ataka Zimamoto, Skauti wakomeshe majanga ya moto shuleni

    February 26, 2021
  • Vikundi 13 Wilayani Kibaha vyanufaika na mikopo ya sh milioni 46

    February 25, 2021
  • Magufuli: Viongozi tatueni kero za wananchi kwa wakati

    February 25, 2021
  • Shilingi Bilioni 3 zakwamua Wanawake, Vijana na Walemavu Geita

    February 25, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.