• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Mawasiliano yarejeshwa kwa Wananchi wa Chinangali II na Mlebe

Imewekwa tar.: December 27th, 2018

Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) wamefanikisha kujenga daraja lililoharibiwa vibaya na mvua za masika na kupelekea kukatika kwa mawasiliano baina ya kijiji cha Chinangali II kilichopo Kata ya Buigiri na kijiji cha Mlebe kata ya Msamalo Wilayani Chamwino.

Akitembelea daraja hilo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo amepongeza upngozi wa TARURA kwa kurejesha mawasiliano baina ya vijiji hivyo kwa kujenga daraja la mlebe sambamba na kujenga barabara ya Chinangali II – Mlebe – Mnase – Mgunga.

Akizungumza katika ziara  ya kukagua barabara na madaraja yaliyoharibiwa na mvua katika Wilaya ya Chamwino mapema leo hii Waziri Jafo amesema liona malalamiko ya wananchi wa Chamwino kupitia mitandao ya kijamii na nikayawasilisha kwa uongozi wa TARURA na kuwaagiza kuchukua hatua stahiki na leo hii nimekuja kuthibitisha utekelezaji wa maelekzo yangu.

“Nafurahi kuona mawasiliano yamerejeshwa na sasa vijiji vya Chinangali II na Mlebe vinaweza kuwasiliana na wananchi wanaendelea na shughuli zao za kujitaftia kipato huku wakizifikia huduma za Afya na Elimu kwa urahisi zaidi” alisema Mhe. Jafo.  

Waziri Jafo aliongoza kuwa hivi ndio Serikali inavyotakiwa kufanya kazi ukiiagiza Taasisi kutatua changamoto zinazowakwaza wananchi  wanatatua kwa wakati na kurejesha huduma stahiki na wakati wote  napenda namna TARURA wanavyofanya kazi zao ni za viwango na zinazokithi mahitaji hongereni sana.

Katika ziara hiyo pia Waziri Jafo alikagua barabara za lami zinazoendelea kujengwa Chamwino Mjini zenye urefu wa Km 3.5  na kusisitiza TARURA kuendelea kusimamia ubora katika ujenzi wa barabara hizo.

“Simamieni Wakandarasi kwa makini katika ujenzi wa barabara hizikwa sababu zinagharimu fedha nyingi sana hizi km 3.5 zinazojengwa hapa ni zaidi Tsh. Bil 1.5 ili vile vipimo vinavyotakiwa kwenye barabara vipatikane kama Tabaka la Chini, la kati mpaka lile la juu pia muhakiki upana wa barabara unaotakiwa unafikiwa kwa vipimo vyenu na sio vya mkandarasi” alisema Mhe. Jafo.

Akizungumzia ujenzi wa daraja sambamba na barabara iliyoharibiwa na mvua Meneja wa TARURA Wilaya ya Chamwino Eng. Nelson Maganga anasema kuwa  kupitia mfuko wa barabara walitenga Tsh Mil 41.9 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na daraja la mlebe lakini mkandarasi aliyepatikana atajenga kwa gharama ya Tsh Mil 37.5 hivyo kuna bakaa ambayo itatumika kuendelea kuimarisha barabara zingine zilizoathirika.

“Pamoja na juhudi kubwa za Serikali katika kutatua changamoto za barabara hii wananchi wa Mlebe walianza kujitolea kwa kukusanya mawe na kuponda kokoto kwa lengo la kurekebisha eneo hilo  lakini  TARURA Chamwino Dc iliwapongeza na kuwashukuru wananchi wa kijiji cha mlebe kwa jitihada zao kisha TARURA kuendelea kujenga barabara pamoja  na daraja hilo” alisema Eng. Maganga.

Kwa hivi sasa barabara ya Chinangali II – Mlebe – Mnase – Mgunga yenye urefu wa Km 22.8 pamoja na madaraja kwa sasa inapitika vizuri kutokana na matengenezo mazuri yaliyofanywa na TARURA.


Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vikundi 13 Wilayani Kibaha vyanufaika na mikopo ya sh milioni 46

    February 25, 2021
  • Magufuli: Viongozi tatueni kero za wananchi kwa wakati

    February 25, 2021
  • Shilingi Bilioni 3 zakwamua Wanawake, Vijana na Walemavu Geita

    February 25, 2021
  • Vikundi 47 Kondoa vyapewa mikopo ya shilingi milioni 147

    February 24, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.