• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Mamlaka za Serikali za Mitaa zatakiwa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kituo cha kutolea huduma kwa wateja

Imewekwa tar.: November 19th, 2020

Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga  amewaagiza  viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa  nchini  kuhakikisha wanatoa elimu kwa watumishi wa umma na wananchi kwa ujumla  kuhusu uwepo  Kituo cha kutolea huduma kwa wateja kilichoanzishwa na Ofisi ya Rais- TAMISEMI.

Akiongea kwenye ziara iliyofanywa na waandishi wa habari katika Kituo hicho leo Mhandisi Nyamhanga amesema lengo la kuanzishwa kwake ni kuwaondolea adha watumishi wa umma na wananchi kwa ujumla  kusafiri mpaka Makao Makuu Ofisi za Rais TAMISEMI  kwa ajili ya kupata huduma

Amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI inahudumia wateja mbalimbali ikizingatiwa kuwa ndio wasimamizi wa Mikoa 26, Wilaya139, Halmashauri 185, tarafa 570, kata 3956, vijiji 12,319, Mitaa 4,263, vitongoji 12,384 na zaidi ya watumishi asilimia 73 ya wanatoka katika Mamlaka za Serikali za Mitaa, hivyo ni vyema kituo cha kutolea huduma kwa wateja kilichoanzishwa kikatangazwa kuanzia ngazi za Mamlaka za Serikali za Mitaa  

Amefafanua kuwa kujulikana kwa kituo hicho kutasaidia kupunguza mlundikano wa Watumishi wa Umma na wananchi kwa ujumla kusafiri umbali mrefu na kuja katika Ofisi ya Makao Makuu kufuata huhuma mbalimbali.

“Wateja wakiwemo watumishi wamekuwa wakisafiri umbali mrefu kuja kupata huduma Makao Makuu, Jambo ambalo lilikuwa likileta usumbufu  mkubwa,  lakini tangu kuanzishwa kwa kituo hiki kumesaidia kupunguza mlundikano wa wateja  na kupunguza gharama kubwa, muda na usumbufu kwa wanananchi ambao walikuwa wanakuja kufuatilia masuala mbalimbali” Amesisitiza Mhandisi Nyamhanga.

Ametoa wito kwa wananchi wote wanaohitaji kupata huduma mbalimbali katika Ofisi ya Rais TAMISEMI kukitumia kituo cha kutolea huma kwa wateja ili kuweza kupata huduma stahiki na haraka na amewaagiza  watumishi wote kuhakikisha wanakitangaza ili wananchi wakijue na kukitumia.


Akitoa taarifa ya mafanikio Msimamizi wa Kituo Bi. Antelma Mtemahanji amesema mpaka sasa wameweza kupokea simu 15,886, ambapo wateja waliosajiliwa ni 5571 na hoja zilizokamilika  na kufungwa  ni 5526 sawa na asilimia 99

Mtemahanji anafafanua kuwa kablaa ya kuanzisha kituo  hicho  Ofisi ya Rais TAMISEMI ilikuwa ikipokea  takribani wageni  87 hadi 129 kwa siku lakini kwa  sasa inapokea wageni  kati ya 20 hadi 47 kwa siku kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali.

Amesema kuwa katika kipindi cha miezi mitatu tangu kituo kuanza  wateja zaidi ya  5571 wangefika  Makao makuu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi kufuata huduma hivyo kuanzishwa kwa kituo hiki kimesaidia kupunguza msongamano katika Ofisi ya Rais - TAMISEMI

Ametoa wito kwa wananchi na watumishi wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kukitumia kituo hiki ili kupata hudum kwa haraka na wakati

Aidha waandishi wa Habari mkoani Dodoma walifanya ziara ya siku moja  katika Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa lengo la kufahamu mafanikio yaliyopatikana tangu kuanzishwa kwa kituo  cha kutolea huduma kwa wateja mnamo tarehe 6/08/2020


Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Taarifa ya ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri kwa kipindi cha nusu Mwaka (Julai – Disemba, 2019) kwa Mwaka wa fedha 2019/2020 February 09, 2020
  • Tangazo la kazi kada ya Afya January 20, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • “PS3 plus” Yarudi kwa kishindo, Bilioni 114 kuwezesha Mifumo Sekta ya umma nchini

    January 16, 2021
  • Serikali yagawa vifaa vya bilioni 3 kwa Wanafunzi 18,488 wenye mahitaji maalum

    January 14, 2021
  • Mweli awatolea uvivu kidato cha Nne, Sita, awajenga kinidhamu

    January 11, 2021
  • Mweli awatega Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu kwenye Mfumo wa PREM/PREMS.

    January 10, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.