• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Makadirio ya ujenzi wa chumba cha kuhifadhia maiti Murriet kupitiwa upya

Imewekwa tar.: June 4th, 2018

Na Angela Msimbira, Arusha

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Kandege amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Fabian Daqarro 

kuhakikisha anaunda timu ya wataalam kuchunguza ubora wa mabati yaliyotumika katika ujenzi wa kituo cha afya cha Muriet kilichopo katika kata ya Murriet Jijini Arusha.

Kandege ameyasema hayo wakati akiwa kwenye ziara ya kukagua ujenzi wa kituo cha Afya cha Murriet kuona maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho ambacho kimepatiwa Tsh. Mil. 750 kwa ajili ya ujenzi wa wa majengo ya wodi ya Wazazi, Maabara, chumba cha upasuaji na chumba cha kuhifadhia maiti.

Mhe. Kandege amemtaka kuhakikisha anachunguza gharama za ujenzi wa majengo hasa jengo la kuhifadhia maiti kwa kuwa gharama yake ni kubwa ikilinganishwa na ramani zilizotolewa na Serikali kwa nchi nzima kwa ajili ya ujenzi wa jengo hilo.

Amemtaka Mkuu huyo wa Wilaya kuhakikisha wanafanya mapitio mapya ya makadiri ya ujenzi yaliyofanyika katika jengo la kuhifadhia Maiti ambapo gharama iliyokadiriwa ni Tsh. Mil. 51 tu Kwa jengo hilo.

“Sijaridhishwa na makadirio ya ujenzi yaliyofanyika katika jengo la kuhifadhia maiti kwa kuwa ramani hizo zimetolewa na Serikali nchi nzima kwa ajili ya ujenzi huo, hivyo namtaka Mkuu wa Wilaya kufanya mapitio mapya ya makadirio ya ujenzi wa jengo hilo.

Amesema Serikali imekuwa ikitoa fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya afya nchini hivyo inahitaji kuona thamani ya majengo yanayojengwa yanaenda sambamba na fedha zilizotolewa na Serikali.

Mhe. Kandege ameziagiza Halmashauri zote nchini kubana matumizi ili kiasi cha fedha kitakachotolewa na Serikali kitumike kuongeza majengo mengine na kuimarisha yaliyopo ili kuweza kutoa huduma bora za afya kwa jamii.

Ameelekeza chumba cha kujifungulia akina mama wajawazito kitenganishwe kila kitanda ili kuwa na usiri mama mjamzito anapojifungua

Aidha Mhe. Kandege ameuagiza uongozi wa Wilaya ya Arusha kuhakikisha Ujenzi wa vituo vya afya unakamilika kwa wakati ili wananchi wapate huduma za afya karibu na maeneo wanavyoishi.

Wakati huo huo Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Bw. Athumani Kihamia amesema jumla ya Tsh Mil. 700 zimepokelewa kwa ajili ya umaliziaji wa jengo la OPD pamoja na kujenga majengo ya wodi ya wazazi, Maabara, chumba cha upasuaji na chumba cha kuifadhia maiti ambapo zaidi ya shilingi milioni 462 zimetumika.

Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Taarifa ya ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri kwa kipindi cha nusu Mwaka (Julai – Disemba, 2019) kwa Mwaka wa fedha 2019/2020 February 09, 2020
  • Tangazo la kazi kada ya Afya January 20, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • “PS3 plus” Yarudi kwa kishindo, Bilioni 114 kuwezesha Mifumo Sekta ya umma nchini

    January 16, 2021
  • Serikali yagawa vifaa vya bilioni 3 kwa Wanafunzi 18,488 wenye mahitaji maalum

    January 14, 2021
  • Mweli awatolea uvivu kidato cha Nne, Sita, awajenga kinidhamu

    January 11, 2021
  • Mweli awatega Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu kwenye Mfumo wa PREM/PREMS.

    January 10, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.