• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App

Jafo akerwa na ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Mwanga

Imewekwa tar.: July 8th, 2020


Angela Msimbira   MWANGA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo  amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga kuahakikisha wanakamilisha ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Mwanga  ifikapo tarehe 15 Augusti, 2020

Ametoa agizo hilo leo wakati  akiwa kwenye ziara ya kukagua  miradi ya maendeleo inayotekelezwa  katika Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga , Mkoani Kilimanjaro.

Mhe. Jafo anafafanua  Serikali imeetoa fedha kiasi cha shilingi milioni 400 lakini viongozi wa Halmashauri hiyo  wanashindwa kusimamia ujenzi wa Hospitali hiyo ambayo ingewasaidia wananchi maskini , suala hili ni kinyume kabisa na utaratibu..

“Nimekerwa sana na Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga , kwa kutokuwa makini katika suala la usimamizi wa miradi ya maendeleo ikiwemo kusuasua kwa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Mwanga,” amesisitiza Mhe. Jafo

Amesema kuwa wananchi wanalalamika kuhusu ujenzi wa miundombinu ya afya, lakini bado viongozi wa Halmashauri hiyo wanakosa umakini wa kusimamia ujenzi wa Hospitali hiyo jambo ambalo linarudisha nyuma maendeleo  na juhudi za Serikali za kusogeza huduma za afya kwa jamii

Mhe Jafo amehoji  kuwa kuna Halmashauri ambazo zipo kwenye mazingira  magumu lakini wameweza kukamilisha ujenzi kwa wakati  iweje Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga isikamilishe ni niuzembe uliopitiliza.

“Mkurugenzi nakuagiza hadi kufikia tarehe 15/08/2020 hakikisha ujenzi umekamilika, mimi sihitaji watu wazembe katika suala zima la utekelezaji wa majukumu”Amesisitiza Mhe. Jafo

Amesema Wananchi wanahitaji huduma bora za afya na si suala la uzembe wa baadhi ya viongozi ambao hawatimizi majukumu yao waliopatiwa dhamana ya kutoa huduma bora kwa wananchi maskini.

Akitoa taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa Hospitali hiyo Mganga Mkuu wa Wilaya  Dkt. Abdul Msuya amesema Serikali ilitoa fedha za ujenzi  Novemba, 2019  ambapo majengo yanayojengwa mpaka sasa ni  jengo la wazazi na jengo la upasuaji.

Awali Mhe. Jafo alikagua ujenzi wa Shule Kongwe  ya Sekondari Same kwa lengo la kukagua  maendeleo ya ukarabati wa miundombinu ya shule hiyo na kuushukuru uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro kwa usiamizi mzuri wa ukarabati wa shule hiyo kongwe.




Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Agizo la ujenzi wa vyumba vya madarasa 2257 latekelezwa

    March 02, 2021
  • Waziri Jafo ataka Shilingi Bilioni 245 za Miradi ya Maendeleo zitumike kwa wakati

    March 01, 2021
  • Serikali yalegeza masharti mikopo ya asilimia 10

    February 27, 2021
  • Vikundi 23 Wilayani Busega vimenufaika na mikopo ya asilimia 10

    February 26, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.