• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Jafo akemea vitendo vya Unyanyasaji na upendeleo wa walimu na wanafunzi

Imewekwa tar.: September 17th, 2018

Na Mathew Kwembe, Dodoma


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo amewaagiza maafisa wa elimu wa mikoa na wilaya kuzingatia maadili kwa kuepuka vitendo vya upendeleo na unyanyasa wa walimu na wanafunzi.


Pia amewataka kujuepusha na suala la uvujishaji mitihani, rushwa na utovu wa maadili.


Katika hotuba yake ilisomwa na Naibu Waziri, Joseph Kakunda wakati wa kufungua kikao kazi cha siku mbili kilichowakutanisha maafisa elimu wa mikoa na halmashauri kilichofanyika jijini Dodoma, Mhe.Jafo alihimiza umuhimu wa kuzingatia maadili na kusisitiza kuwa siku za hivi karibuni, sekta hiyo imejijengea picha mbaya kwa mambo kadhaa.



 “Tunatakiwa kuepuka vitendo vya upendeleo na unyanyasaji wa aina yoyote wa walimu na wanafunzi, uvujaji wa mitihani, rushwa na utovu wa maadili kwasababu ninyi ni kioo cha jamii,” alisema.
Jafo alionya kuwa vitendo vya utovu wa maadili kamwe havitavumiliwa na serikali na yeyote anayeendekeza vitendo hivyo atachukuliwa hatua kali.


“ Nitumie fursa hii kulaani vitendo vya unyanyasaji na kiukatili vilivyofanywa na baadhi walimu katika shule ya msingi Kibeta iliyopo katika halmashauri ya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera,” alisema


Aidha, Jafo aliwaasa viongozi hao kusimamia Sheria, kanuni na taratibu katika utoaji wa adhabu kwa wanafunzi kote nchini.
Jafo alitumia nafasi ya kutoa msisitizo kwa  viongozi hao kuwajibika katika kufanya kazi kwa bidii, weledi na kuwajibika kwa umma, watumishi, wadau na marafiki wa elimu ili kuendeleza imani mliyoijenga kwa umma. 

Aidha, Jafo alionesha imani kuwa mkutano huo ambao umewakutanisha watendaji wa elimu katika ngazi ya taifa, mikoa na halmashauri kwa lengo la kukumbushana majukumu, kujipima na kujitafakari utendaj , kupeana uzoefu, kujenga uwezo na kujadiliana juu ya minu na mikakati  itakayotumika kusaidia kuboresha utoaji wa elimu iliyo bora.

“Baada ya kikao hiki hatutakuwa tayari kusikiliza watendaji mliopo hapa wala wasaidizi wenu mkitoa utetezi wa aina yeyote utakaosababishwa na uzembe katika utendaji ,” alisema.




Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vikundi 13 Wilayani Kibaha vyanufaika na mikopo ya sh milioni 46

    February 25, 2021
  • Magufuli: Viongozi tatueni kero za wananchi kwa wakati

    February 25, 2021
  • Shilingi Bilioni 3 zakwamua Wanawake, Vijana na Walemavu Geita

    February 25, 2021
  • Vikundi 47 Kondoa vyapewa mikopo ya shilingi milioni 147

    February 24, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.