• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu

Halmashauri zaagizwa kutenga bajeti kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi.

Imewekwa tar.: October 25th, 2018


Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  Mhe  Selemani Jafo ameziagiza Halmashauri zote nchini  kuhakikisha  katika mpango wa bajeti ya mwaka 2019/2020  kila Halmashauri kutenga shilingi milioni sita kwa ajili ya kuanza kushughulikia matatizo ya  watoto wenye kichwa kikubwa  na mgongo wazi nchini.

Ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi kwenye maadhimisho ya kitaifa ya siku ya watoto wenye kichwa kikubwa na mgongo wazi duniani iliyofanyika katika viwanja vya hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Jijini Dodoma leo.

Mhe Jafo amesema kuwa kila Halmashauri ikitenga fedha hiyo itasaidia kuhudumia watoto thelathini (30) jambo ambalo litakuwa linapunguza matatizo ya watoto hao nchini.

“Nahitaji  kuiona bajeti ya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi  nchini  katika kila kitabu cha Halmashauri lengo likiwa ni kuhakikisha watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi wanapata tiba kwa wakati hapa nchini”anasisitiza Mhe. Jafo.

Akifafanua zaidi amesema Serikali imetenga fedha kupitia mapato yake ya ndani katika Hamashauri ambazo ni takribani bilioni 51 ambayo asilimia 2 ni kwa ajili ya vijana, asilimia 4 kwa  ajili ya kina mama na  asilimia 2 kwa ajili ya watu wenye ulemavu  lakini taarifa zinazotolewa na baadhi ya Halmashauri ni kuwa makundi ya walemavu ni machache.

“Nawaagiza Maafisa Usatwi wa Jamii kuhakikisha wanawatafuta watu wenye ulemavu kuanzia ngazi ya kaya, kata, tarafa ili waweze kunufaika mna mikopo hiyo inayotolewa na Serikali, achene kukaa maofisini wahudumieni wananchi hasa watu wenye ulemavu” Anasema Mhe. Jafo

Amewaagiza Maafisa Ustawi wa Jamii kufanyakazi kwa uadilifu kwa kuwaibua watu wenye ulemavu waliofichwa majumbani ili waweze kupata haki zao za msingi zinazotolewa na Serikali.

Wakati huohuo amewataka Wakuu wa Mikoa wote nchini kuhakikisha  wanawasilisha taarifa maalum kila mwezi  katika ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inayoelezea namna ilivyoweza kutatua matatizo ya watu wenye ulemavu katika Mikoa yao.

Amesema kuwa suala la watoto wenye vichwa vikubwa na migongo wazi ni kubwa na linapaswa kusimamiwa hivyo watanzania waungane pamoja  ili kupunguza tatizo hilo na amewataka wazazi kuwa wajasiri katika kuwahudumia watoto  hao.

Amewataka Madaktari nchini kufanyakazi kwa weledi mkubwa kwa kujitoa katika kutoa huduma kwa jamii ili kuokoa maisha ya wananchi wanyonge na maskini.

Aidha amewataka Wakuu wa Mkoa wote nchini kusimamia kamati za watu wenye ulemavu kwa kuhakikisha kwamba zinaundwa kwa ajili ya kuangalia kada zote za ulemavu.

Naye Mwenyekiti  wa chama cha ASBAHT Taifa  Bw. Abdulhakim Bayakub amesema changamoto kubwa ni uwepo wa vituo vichache vya kutolea huduma za watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi, upungufu wa wataalam wa kutoa tiba hii pamoja na ukosefu wa vifaa tiba hasa mipira ya Shanti ambayo ndio mkombozi mkubwa wa watoto wenye vichwa vikubwa.

Aidha ameiomba Serikali na Hospitali zinazotoa huduma za watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi kutoa mafunzo zaidi kwa madaktari katika Hospitali za Mikoani ili kufikisha huduma hii karibu na jamii na kupunguza msongamano katika hospitali zinazotoa huduma hiyo kwa sasa.

Na Angela Msimbira



Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Serikali yalegeza masharti mikopo ya asilimia 10

    February 27, 2021
  • Vikundi 23 Wilayani Busega vimenufaika na mikopo ya asilimia 10

    February 26, 2021
  • Vikundi 366 Wilayani Kilwa vyanufaika na mikopo ya sh bilioni 1.1

    February 26, 2021
  • Waziri Jafo ataka Zimamoto, Skauti wakomeshe majanga ya moto shuleni

    February 26, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.