• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Halmashauri zaagizwa kujitathmini ukusanyaji wa mapato.

Imewekwa tar.: December 22nd, 2020


Na. Angela Msimbira NJOMBE

Waziri wa Nchi Ofisi  ya  Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Selemani Jafo  amewaagiza wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini  kujitathmini juu ya ukusanyaji wa mapato na usahihi wa utumiaji wa rasilimali fedha zitokanazo na mapato hayo

Waziri Jafo ametoa kauli hiyo leo wakati akiongea na watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe na kusema kuwa lazima mapato hayo yanayokusanywa yatumike kwa usahihi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo

“Nataka Halmashauri zote zikusanye mapato, awali ukusanyaji wa mapato ulikuwa hafukii asilimia 72, katika kipindi cha miaka mitano Chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli Halmashauri zote nchini zimeweza kukusanya mapato kwa asilimia 94” amesema Waziri Jafo

Waziri Jafo amesisitiza kuwa Serikali ilijiwekea mkakati kuwa   ifikapo  Disemba 2020  halmashauri  zote ziwe zimekusanya mapato si chini ya asilimia 50 , suala la ukusanyaji wa mapato ni la muhimu katika Halmashauri zote nchini.

“Nitakapotoa  ripoti ya  miezi sita ya  hali ya ukusanyaji wa mapato katika Halmashauri zote nchini mnamo tarehe 15/1/2020 nataka halmashauri zote  ziwe zimefikia si chini ya asilimia 50 ” amesisitiza Waziri Jafo

Amesema kuwa Halmashauri zote ambazo hazitafikia asilimi 50 ya ukusanyaji wa mapato Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo  lazima ajitathmini kama anafaa kuendelea kushika nafasi au hatoshi na atolewe ili awekwe mwingine ambaye  atakayeweza kukusanya mapato

Waziri Jafo amesema Serikali haitashughulika na Wakurugenzi pekee bali itawachukulia hatua waweka hazina na maafisa mipango wa Halmashauri  ambao wameshindwa kukusanya mapato.

Aidha Waziri  Jafo  ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya  Njombe  ambapo walijiwekea malengo ya kukusanya  kiasi cha shilingi bilioni 2.3  na hadi kufikia tarehe 21/12/2020  wameweza kukusanya kiasi cha shilingi 1.7 sawa na asilinia 72 wakati Halmashauri ya mwisho  kwa ukusanyaji wa mapato ni Halmashauri ya Wilaya ya Makete iliyokusanya kiasi cha shilingi milioni 599 sawa na asilimia 25

Wakati huohuo , Waziri Jafo amewaagiza watumishi wa  Mamlaka za Serikali za Mitaa wote nchini  kufanyakazi kwa ushirikiano na weledi katika kuwatumikia wananchi na kutoa huduma bora kwa jamii

Naye Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bi. Katarina Revocati amesema katika mwaka wa fedha 2019/2020  Halmashauri za Mikoa zilikisia  kukusanya jumla ya shilingi bilioni 13 kutoka nyazo nya ndani ambapo hadi kufikia juni,2020 halmashauri zilikusanya  shilingi bilioni 15.8 sawa na asilimia 121 ya lengo la makusanyo.

Na. Angela Msimbira NJOMBE

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vikundi 47 Kondoa vyapewa mikopo ya shilingi milioni 147

    February 24, 2021
  • Mikopo ya Shilingi Milioni 85 yatolewa kwa Vikundi wilayani Bunda

    February 24, 2021
  • Mradi wa Fursa na Vikwazo Iliyoboreshwa Kuingizwa kwenye Majukumu ya OR - TAMISEMI

    February 23, 2021
  • Mikopo ya Sh. Milioni 850 yatolewa kwa Vikundi 104 jijini Tanga

    February 15, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.