• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Dkt. Chaula awapa somo wadau wa afua ya vipimo na tiba ya Malaria

Imewekwa tar.: December 12th, 2018

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) anayeshughulikia Afya Dkt. Zainabu Chaula amewataka Wadau wa Afua ya Vipimo na Tiba ya Malaria na Wataalamu wa Idara ya Afya kuwekeza katika utekelezaji wa afua ya uangamizaji wa viluwiluwi wa mbu waenezao malaria “Larviciding”

Dk. Chaula amebainisha hayo leo jijini Dodoma katika kikao cha Wadau wa Afua ya Vipimo na Tiba ya Malaria na Wataalamu wa Idara ya Afya OR-TAMISEMI kilichofanyika katika ukumbi wa Refum, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.

Dkt. Chaula amesema kuwa ili kufikia lengo la kutokomeza Malaria lazima tutambue tumetoka wapi, tuko wapi na tunaenda wapi kwa kufanya tathmini kupitia takwimu zilizopo na kufanyia kazi baada ya kujua takwimu za sasa.

“Tumepewa dhamana na majukumu ya kuwatumikia watanzania hivyo ni wajibu wetu sote tulopewa majukumu kuhakikisha tunawatumikia watanzania kwa usawa ili kila moja aweze kufikia lengo kwani adhima yetu ni moja kama watanzania” Alisema Dk. Chaula.

Dkt. Zainabu Chaula amewataka wadau wote walioshiriki kikao hicho kuwekeza rasilimali fedha katika utekelezaji wa Afua ya Vipimo na Tiba ya Malaria ili kupunguza maambukizi ya Malaria nchini.

 Dkt.Chaula amewataka kuwa wawazi, kuongeza ushirikiano na usawa baina ya Wadau, Waratibu wa Malaria Mikoani na Wilayani na Idara ya Afya OR-TAMISEMI ili kujua nini kina fanyika, wapi na wakati gani na nani anafanya nini kwa nafasi yake ili kuleta utendaji bora katika kutokomeza ugonjwa wa Malaria nchini.

Naye a Kaimu Mkurugenzi Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe OR-TAMISEMI Jumanne Mwasamila amesema kuwa wamepokea maagizo na watayafanyia kazi  kwa lengo la kuhakikisha wanafikia malengo katika kutokomeza Malaria nchini.

Wakatihuohuo Mratibu wa Malaria na Uthibiti wa Mbu anayebeba vimelea vya Malaria “Vector Control” kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bi. Stella Kajange amesema kuwa lengo la kikao hicho ni  kuwasilisha kazi wanazofanya katika utekelezaji wa Afua za matibabu na vipimo vya Malaria.

“Kupata tathimini ya matarajio yaliyofikiwa na ambayo hayajafikiwa kutafutiwa njia bora za utekelezaji ili yaweze kufikiwa na kuhakikisha tunatokomeza Malaria” Alisema Kajange.

Aidha kikao hicho kilihudhuriwa na Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii na Lishe, National Malaria Control Program (MNCP), Wataalamu wa Idara ya Afya OR-TAMISEMI, Waratibu wa Malaria Wiliaya za Chamwini, Geita, Kibondo na Kasulu, Clinton Health Accesses Initiative, (CHAI), USAID Boresha Afya, SHOP PLUS na GHSC.




Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato

    January 21, 2021
  • Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

    January 20, 2021
  • Shule ya Msingi Nkuhungu yapewa siku 14 kukarabatiwa

    January 20, 2021
  • Asilimia 10 inavyoibua Wajasiriamali Arusha

    January 19, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.