• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Bil 2.8 zatumika kutatua Changamoto TARURA

Imewekwa tar.: June 13th, 2018

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo jana alikabidhi magari 26 yenye thamani ya Tsh 2.8 bilioni kwa Wakala wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ambayo yalinunuliwa na Serikali katika Mwaka wa Fedha 2017/18. 

Kununuliwa kwa magari hayo kunafanya Wakala kuwa na jumla ya magari 288 kati ya Magari 440 yanayohitajika.

Akikabidhi magari hayo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amesema magari haya yanayokabidhiwa yakasaidie katika kufuatilia utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa Barabara ili kuhakikisha kuwa kila shilingi inayotolewa na Serikali inatumiwa kwa malengo yaliyokusudiwa.

“Natoa Rai kwa TARURA mhakikishe mnayatunza magari haya ili yakafanikishe malengo ya ujenzi na ukarabati wa barabara kwa ufanisi, na madereva wote watakaokabihidwa wapewe maelekezo ya kuwa makini katika kuyahudumia ipasavyo kila inapotakiwa ili yaweze kuduma kwa muda mrefu” alisema Jafo.

Pia aliwakumbusha wataalamu wote wa TARURA kufanya kazi kwa Weledi ili kuleta matokea ya haraka katika sekta ya barabara ambayo inategemewa sana na imekua chachu katika kukuza uchumi wa Taifa letu.

Naye Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seif ameishukuru Serikali kwa kuwapatia magari ambayo tataongeza ufanisi katika utendaji kazi wa TARURA pia alibainisha kuwa katika Bajeti ya mwaka wa Fedha 2018/19 Serikali imetenga Tsh. Bil 2 kwa ajili ya kununua magari mengine 20.

Serikali ilianzisha Wakala wa Babarabara za vijijini na mjini (TARURA) kwa sheria ya Wakala wa  Serikali Sura ya 245 na kutangazwa rasmi kwenye Gazeti la Serikali Na. 211 la tarehe 12/05/2017 na kuzinduliwa rasmi mnamo mwezi Julai,2017 na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa Majaliwa(MB).

Hata hivyo, kutokana na uchanga wa Wakala wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ambapo ina mwaka sasa tangu kuanzishwa kwake bado inakabiliwa changamoto ya uhaba wa vitendea kazi, majengo ya Ofisi katika ngazi ya Halmashauri na Mikoa pamoja na ufinyu wa bajeti ikilinganishwa na mahitaji.

Katika kukabiliana na changamoto hizo  eneo la uhaba wa vitendea kazi ambalo ni pamoja na  magari ya usimamizi wa kazi mbalimbali zinazotekelezwa na TARURA, Serikali kwa kuliona hilo imeona ni vyema kutatua changamoto katika maeneo mbalimbali yenye Uhitaji hususani uhaba wa vitendea kazi kama magari ya usimamizi wa shughuli za barabara. Lengo ni  kuongeza ufanisi katika utendaji kazi na hatimaye kuchochea kazi ya ukuaji wa uchumi nchini.


Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vikundi 13 Wilayani Kibaha vyanufaika na mikopo ya sh milioni 46

    February 25, 2021
  • Magufuli: Viongozi tatueni kero za wananchi kwa wakati

    February 25, 2021
  • Shilingi Bilioni 3 zakwamua Wanawake, Vijana na Walemavu Geita

    February 25, 2021
  • Vikundi 47 Kondoa vyapewa mikopo ya shilingi milioni 147

    February 24, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.