• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Asilimia 10 inavyoibua Wajasiriamali Arusha

Imewekwa tar.: January 19th, 2021

Mwandishi Wetu Arusha.

Mipango na matarajio ya Serikali yoyote duniani, nikuona wananchi wake wanakuwa na usatawi katika Nyanja mbali mbali ikiwepo, kujikwamua kiuchumi na kupata maendeleo ya watu. Tangu kuanza kutolewa kwa mikopo ya asilimia 10 kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu, tumeshuhudia manufaa kadha kwa wanufaika

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Longido, Jumaa Mhina amesema hayo wakati akizungumza na kamati iliyoundwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI, kufanya uhakiki wa taarifa za fedha zinazotolewa na halmashauri nchini iwapo zimekua na tija iliyotarajiwa.

Kamati hiyo ambayo ni matokeo ya wadau mbalimbali ambao wamekua na maoni tofauti kuwa mikopo ya asilimia 10 ya fedha za ndani za Halmashauri zimekua haziwafikii walengwa kama sheria inavyoelekeza bali zimekua zikitumika kwenye shughuli zingine za serikali na watu ambao sio swalengwa.

“Tumejitahidi kuhakikisha asilimia 10 ya mapato yetu ya ndani zinaelekezwa kwa makundi yaliyotajwa kisheria, fedha hizo zimesaidia sana jamii ya wana Longido kwenye shughuli zao za ufugaji, ujasiriamali katika ngazi tofauti,” amesema Mhina

Mhina anatoa mfano halisi wa kikundi cha wanawake cha Blessing chenye kiwanda kidogo cha mikate ambacho kilianza na mkopo wa shilingi milioni 10 ambao ulirejeshwa na kukopeshwa kiasi cha shilingi milioni 15 ambao umekua na manufaa kwa jamii husika.

Anasema changomoto iliyopo ni kupata uwiano wa watu wenye ulemavu wa asilimia mbili kwasababu katika jamii hiyo kuna idadi ndogo ya wenye ulemavu huku vikundi vya vijana mwitikio umekua mdogo tofauti na wanawake ambao wamekua wakijitokeza kwa wingi.

Katika Jiji la Arusha baadhi ya wanufaika wa mikopo hiyo wameeleza namna maisha yao yanavyoendelea kubadilika kutokana na kujiunga katika vikundi vya uzalishaji mali lah wanasema, iwapo wasingepata mikopo hiyo wangekua na maisha duni pengine hata kujiingiza katika makundi ya kihuni.

Asha Juma kutoka kikundi cha UWT Kata Levolosi, anasema mkopo umewasidia kuendeleza biashara ya mama lishe katika soko la Kilombero japo wamekuwa wakipata changamoto ya mitaji yao kufa kutokana na utitiri wa wajasiriamali wenzao waliopo kando kando ya barabara wanaouza chakula bei rahisi zaidi kutokana na kutolipa baadhi ya ushuru.

“Wana kikundi wenzangu tunalipa vyumba, maji na huduma ya taka lakini wanaouza vyakula kando ya barabara hawalipi hizo huduma hivyo kuwepo na ushindani usio sawa hatua inayoharibu kabisa mitaji yetu na kushindwa kurejesha mkopo kwa wakati.

MWISHO

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vikundi 47 Kondoa vyapewa mikopo ya shilingi milioni 147

    February 24, 2021
  • Mikopo ya Shilingi Milioni 85 yatolewa kwa Vikundi wilayani Bunda

    February 24, 2021
  • Mradi wa Fursa na Vikwazo Iliyoboreshwa Kuingizwa kwenye Majukumu ya OR - TAMISEMI

    February 23, 2021
  • Mikopo ya Sh. Milioni 850 yatolewa kwa Vikundi 104 jijini Tanga

    February 15, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.