• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App

Ajira Ofisi ya Rais, TAMISEMI Waombaji Wapewa ushauri.

Imewekwa tar.: March 6th, 2019

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa OR-TAMISEMI, inaendelea kupokea maombi ya ajira za walimu zilizotangazwa hivi karibuni huku ikiwataka waombaji wote kuzingatia muda wa mwisho wa kutuma maombi hayo ambao ni tarehe 15 Machi, 2019.

Akizungumza Ofisini kwake kuhusu mwenendo wa waombaji hadi sasa Mkurugenzi wa TEHAMA, OR-TAMISEMI, Bw. Erick Kitali, alisema kwakuwa waombaji wanaomba kupitia mtandao wa (http://ajira.tamisemi.go.tz) ni vema pia wakazingatia tarehe ya mwisho ya maombi.

Kitali pia amewataka waombaji wote kuzingatia ukubwa wa nyaraka za viambatanisho huku akiwataka kuhakikisha zisizidi 1Mb au kuwa ndogo kadri iwezekanavyo, kutokana na walio wengi kupiga simu kwenye dawati la msaada na kutaka kujua ukubwa wa file kwa ajili ya ku-upload na kusema Nyaraka zote zinapaswa ziwe katika “format” ya “pdf” na sio format nyingine.

“Tunawashauri waombaji wote wa nafasi hizi za kazi zilizotangazwa kuzingatia maelekezo ambayo tayari tumeshayatolea muongozo kwa njia ya video (Video manual) na kuiwekwa kwenye Youtube ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na kusambazwaa katika njia mbali mbali za mawasiliano, kwa urahisi wakujikumbusha na kufanya maombi ya kazi. Video hiyo ni  fupi ya dakika. 10 tu” alisema Kitali.

Mbali na kutumia muongozo huo kwa njia ya video, amewashauri kutumia Progress bar wakati wa kuweka viambatanisho ili kujua kama unakaribia kumaliza ku-upload nyaraka husika na kutoikatisha njiani, “Ni Muhimu kutumia Progress bar wakati wa uploading” Alisisitiza Kitali.

Aidha, mfumo unatoa fursa ya mwombaji kuangalia hali ya maombi yake na kumwonesha kama amekamilisha mahitaji yote yanayotakiwa ikiwa ni pamoja na nyaraka zote husika. Kila mwombaji anayo Profile yake, kwa msingi huo kila hatua lazima izingatiwe.

Mwisho Kitali amewataka waombaji hao kuendelea kuwasiliana na dawati la msaada  kwa kutumia namba za simu ambazo zimetolewa na kusambaza kwenye tangazo la kazi lakini pia kwenye muongozo wa video. Vile vile, mtandao ambao waombaji wapo ni muhimu kuwa unafanya kazi vyema.

“Sisi tunasema TAMISEMI YA WANANCHI, hivyo tunajukumu la kuwahudumia wananchi wote kwa juhudi na maarifa yote” alihitimisha Mkurugezi huyo.

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa OR-TAMISEMI, imendelea na uboreshaji wa Mifumo mbali mbali ya sekta ya umma katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa, ambapo hatua ya watu kuomba kazi kupitia matandao ni mafanikio makubwa katika ulimwengu wasasa.

Anaandika  Atley Kuni- OR-TAMISEMI

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Uhaba wa Saruji wachelewesha ujenzi wa barabara za Mji wa Serikali

    March 03, 2021
  • Natoa siku siku 12 mtatue kero za soko la Ndugai na Stendi kuu ya Mabasi- Waziri Jafo

    March 03, 2021
  • Agizo la ujenzi wa vyumba vya madarasa 2257 latekelezwa

    March 02, 2021
  • Waziri Jafo ataka Shilingi Bilioni 245 za Miradi ya Maendeleo zitumike kwa wakati

    March 01, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.