Ziara ya Ufuatiliaji Mfumo wa Kukusanya Mapato Halmashauri.

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government

Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI kwa kushirikiana na Benki ya Dunia inatarajia kufanya ziara kutembelea Halmashauri sita nchini ambazo mapato yake yanakusanywa kwa njia ya Kielektroniki ili kuona namna mfumo huo wa ukusanyaji mapato unavyotekelezwa.

Ziara hiyo inatarajiwa kufanyika katika halmashauri sita nchini kuanzia tarehe 13 mei hadi tarehe 1 juni 2015. Timu hiyo itatembelea mikoa ya Mbeya, Tanga, Kigoma, Dodoma, Mtwara na Mwanza. Ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki ulifanyiwa majaribio kwa mara ya kwanza katika jiji la Arusha na kwa sasa halmashauri 8 nchini zipo katika hatua mbalimbali za majaribio ya mfumo huo.

INFORMATION
Vigezo vya uanzishaji na upandishaji hadhi wa mamlaka za serikali za mitaa
Taratibu za kupandishwa vyeo na mafunzo kwa watumishi wa MSM
Utaratibu wa Jinsi ya Kushughulikia Malalamiko Serikalini.
Maelezo kuhusu utaratibu wa uhamisho kwa watumishi wa Umma
Majukumu Na kazi za Meya,Madiwani,Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji.
EVENTS
SIGN UP

COUNTER STARTED ON:27th July 2015.