MAFUNZO YA WAKUU WA WILAYA KUANZA TAREHE 16-19 MACHI,2015

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government

OWM-TAMISEMI kwa kushirikiana na Taasisi ya Uongozi imeandaa mafunzo ya awali (Orientation) ya siku nne(4) kwa Wakuu wa Wilaya wapya 27 walioteuliwa hivi karibuni.Mafunzo hayo yatafanyika kuanzia tarehe 16 hadi 19 Machi,2015 mjini Dodoma. Lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo Viongozi hawa ili kuweza kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

INFORMATION
Vigezo vya uanzishaji na upandishaji hadhi wa mamlaka za serikali za mitaa
Taratibu za kupandishwa vyeo na mafunzo kwa watumishi wa MSM
Utaratibu wa Jinsi ya Kushughulikia Malalamiko Serikalini.
Maelezo kuhusu utaratibu wa uhamisho kwa watumishi wa Umma
Majukumu Na kazi za Meya,Madiwani,Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji.
EVENTS
SIGN UP

COUNTER STARTED ON:27th July 2015.